Yoeli 3:17 BHN

17 “Hapo, ewe Israeli,utajua kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,nakaa Siyoni, mlima wangu mtakatifu,Yerusalemu utakuwa mji mtakatifu;na wageni hawatapita tena humo.

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:17 katika mazingira