Yoeli 3:4 BHN

4 “Mnataka kunifanya nini enyi Tiro na Sidoni na maeneo yote ya Filistia? Je, mna kisasi nami mnachotaka kulipiza? Kama mnalipiza kisasi, mimi nitawalipizeni mara moja!

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:4 katika mazingira