Yoeli 3:5 BHN

5 Mmechukua fedha na dhahabu yangu, na kuvibeba vitu vyangu vya thamani hadi kwenye mahekalu yenu.

Kusoma sura kamili Yoeli 3

Mtazamo Yoeli 3:5 katika mazingira