Yona 1:12 BHN

12 Yona akawajibu, “Nichukueni mkanitupe baharini, nayo bahari itatulia, maana naona wazi kwamba dhoruba hii imewapata kwa sababu yangu mimi.”

Kusoma sura kamili Yona 1

Mtazamo Yona 1:12 katika mazingira