Yona 1:13 BHN

13 Mabaharia hao wakajaribu bado kupiga makasia wapate kuifikisha meli yao pwani, lakini hawakufanikiwa kwa maana bahari ilizidi kuwachafukia.

Kusoma sura kamili Yona 1

Mtazamo Yona 1:13 katika mazingira