4 Lakini Mwenyezi-Mungu akavumisha upepo mkali baharini, ikatokea dhoruba kali, meli ikawa karibu kabisa kuvunjika.
Kusoma sura kamili Yona 1
Mtazamo Yona 1:4 katika mazingira