Yona 1:5 BHN

5 Mabaharia wakajawa na hofu, kila mmoja akaanza kumlilia mungu wake; wakatupa baharini shehena ya meli ili kupunguza uzito wake. Wakati huo, Yona alikuwa ameteremkia sehemu ya ndani ya meli, akawa amelala usingizi mzito.

Kusoma sura kamili Yona 1

Mtazamo Yona 1:5 katika mazingira