Yona 2:6 BHN

6 Niliteremka hadi kwenye misingi ya milima,katika nchi ambayo milango yake imefungwa milele.Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu,umenipandisha hai kutoka humo shimoni.

Kusoma sura kamili Yona 2

Mtazamo Yona 2:6 katika mazingira