Yona 3:3 BHN

3 Basi, Yona akaondoka, akaenda Ninewi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.Mji wa Ninewi ulikuwa mkubwa sana. Upana wake ulikuwa mwendo wa siku tatu.

Kusoma sura kamili Yona 3

Mtazamo Yona 3:3 katika mazingira