Yona 3:4 BHN

4 Alipowasili, Yona aliingia mjini, na baada ya kutembea mwendo wa siku nzima, akaanza kutangaza: “Bado siku arubaini tu na mji huu wa Ninewi utaangamizwa!”

Kusoma sura kamili Yona 3

Mtazamo Yona 3:4 katika mazingira