Yona 3:5 BHN

5 Basi, watu wa Ninewi wakauamini ujumbe wa Mungu, wakatangaza mfungo, na kwamba kila mmoja wao, mkubwa kwa mdogo, avae vazi la gunia kama ishara ya kutubu.

Kusoma sura kamili Yona 3

Mtazamo Yona 3:5 katika mazingira