Yona 3:6 BHN

6 Habari hizi zikamfikia mfalme wa Ninewi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake rasmi, akajivika vazi la gunia na kuketi katika majivu.

Kusoma sura kamili Yona 3

Mtazamo Yona 3:6 katika mazingira