Yoshua 1:11 BHN

11 “Piteni katika kambi na kuwaamrisha watu watayarishe chakula, kwa kuwa baada ya siku tatu mtavuka mto Yordani, kwenda kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapeni iwe mali yenu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:11 katika mazingira