Yoshua 1:4 BHN

4 Mipaka ya nchi yenu itakuwa hivi: Kusini ni jangwa, kaskazini ni milima ya Lebanoni, mashariki ni mto ule mkubwa Eufrate, kupitia nchi yote ya Wahiti hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi.

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:4 katika mazingira