Yoshua 1:5 BHN

5 Hakuna mtu atakayekushinda siku zote za maisha yako. Nitakuwa pamoja nawe kama nilivyokuwa pamoja na Mose. Daima nitakuwa nawe wala sitakuacha kamwe.

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:5 katika mazingira