Yoshua 1:7 BHN

7 Ila tu, uwe imara na hodari; uwe mwangalifu na kuzingatia sheria yote aliyokuamuru mtumishi wangu Mose. Fuata kila sehemu ya sheria hiyo nawe utafanikiwa popote uendapo.

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:7 katika mazingira