Yoshua 1:8 BHN

8 Hakikisha kuwa hutakisahau kamwe kitabu hiki cha sheria; bali kila siku utajifunza kitabu hiki, mchana na usiku, ili upate kutekeleza yote yaliyoandikwa humu, nawe utafanikiwa na kustawi popote uendapo.

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:8 katika mazingira