Yoshua 1:9 BHN

9 Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.”

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:9 katika mazingira