Yoshua 10:13 BHN

13 Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi maadui wake. Kama alivyoandika katika kitabu cha Yashari, jua lilisimama kimya katikati ya mbingu, likakatiza safari yake ya kwenda kutua kwa siku nzima.

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:13 katika mazingira