Yoshua 10:14 BHN

14 Siku kama hiyo haijawahi kuwako kamwe wala haijapata kuonekana tena, siku ambayo Mwenyezi-Mungu amemwitikia binadamu kwa namna hiyo; maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwapigania Waisraeli.

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:14 katika mazingira