32 Naye Mwenyezi-Mungu akautia mji huo mikononi mwa Waisraeli, wakauteka mnamo siku ya pili. Waliwaua wakazi wote wa mji huo kama walivyofanya kule Libna.
Kusoma sura kamili Yoshua 10
Mtazamo Yoshua 10:32 katika mazingira