Yoshua 10:33 BHN

33 Hapo, mfalme Horamu wa Gerezi akaamua kuja kuwasaidia watu wa Lakishi. Lakini Yoshua alimuua pamoja na watu wake wote, hakumbakiza hata mtu mmoja.

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:33 katika mazingira