Yoshua 10:8 BHN

8 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Usiwaogope hata kidogo maana nimewatia mikononi mwako, wala hakuna hata mmoja atakayeweza kukukabili.”

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:8 katika mazingira