Yoshua 11:10 BHN

10 Yoshua alipokuwa anarudi, akauteka mji wa Hazori. Alimuua mfalme wake maana ndiye aliyekuwa kiongozi wa falme hizo zote.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:10 katika mazingira