Yoshua 11:9 BHN

9 Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:9 katika mazingira