Yoshua 11:8 BHN

8 Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwa Waisraeli, nao wakawachapa na kuwafukuza mpaka Sidoni Kuu na Misrefoth-maimu, hadi upande wa mashariki katika bonde la Mizpa. Waisraeli wakawapiga na kuwaua wote.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:8 katika mazingira