Yoshua 11:12 BHN

12 Pia aliiteketeza miji ile mingine yote kwa moto na kuwaua wafalme wao wote kama Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, alivyomwamuru.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:12 katika mazingira