13 Lakini Waisraeli hawakuiteketeza miji iliyokuwa vilimani, isipokuwa tu mji wa Hazori ambao Yoshua aliuteketeza.
Kusoma sura kamili Yoshua 11
Mtazamo Yoshua 11:13 katika mazingira