Yoshua 11:14 BHN

14 Waisraeli wakachukua vitu vyote walivyoteka nyara na wanyama wa miji hiyo; lakini waliwaua wakazi wake wote, wala hawakumwacha hata mtu mmoja.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:14 katika mazingira