Yoshua 11:15 BHN

15 Amri hii alipewa Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, naye Mose akamwamuru Yoshua ambaye aliitekeleza. Yoshua alitimiza kila jambo Mwenyezi-Mungu alilomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:15 katika mazingira