Yoshua 11:3 BHN

3 Pia, alipeleka ujumbe kwa Wakanaani waliokuwa pande za mashariki na magharibi, kwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wayebusi ambao walikaa milimani na kwa Wahivi ambao walikaa chini ya mlima Hermoni katika nchi ya Mizpa.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:3 katika mazingira