4 Basi, wakatoka wote na majeshi yao makubwa. Nao walikuwa wengi kama mchanga wa pwani pamoja na magari mengi na farasi wengi sana.
Kusoma sura kamili Yoshua 11
Mtazamo Yoshua 11:4 katika mazingira