Yoshua 15:12 BHN

12 Mpaka wa magharibi ulikuwa bahari ya Mediteranea. Ndivyo ilivyokuwa mipaka ya eneo walilopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zao.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:12 katika mazingira