Yoshua 15:13 BHN

13 Kalebu mwana wa Yefune, alipewa sehemu ya nchi ya Yuda kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua. Alipewa Kiriath-arba au mji wa Arba ambaye alikuwa babu wa Anaki. Mji huo sasa unaitwa Hebroni.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:13 katika mazingira