Yoshua 15:63 BHN

63 Lakini watu wa Yuda hawakuweza kuwafukuza Wayebusi, ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Yerusalemu, na mpaka leo Wayebusi bado wanaishi mjini humo pamoja na watu wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:63 katika mazingira