Yoshua 16:1 BHN

1 Sehemu waliyogawiwa wazawa wa Yosefu kwa kura ilianzia karibu na mto Yordani, mashariki ya chemchemi ya Yeriko, na kupitia jangwani, hadi kwenye sehemu za milima mpaka Betheli.

Kusoma sura kamili Yoshua 16

Mtazamo Yoshua 16:1 katika mazingira