Yoshua 15:7 BHN

7 Kutoka hapo, uliendelea hadi Debiri kwenye bonde la Akori na kaskazini kuelekea Gilgali, ulio karibu na mwinuko wa Adumimu ambao uko kusini mwa kijito, kisha ukaelekea kwenye chemchemi za En-shemeshi na kuishia En-rogeli.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:7 katika mazingira