Yoshua 15:8 BHN

8 Kisha, mpaka huo ulipitia kwenye Bonde la Hinomu, upande wa kusini mwa kilima cha Wayebusi, yaani Yerusalemu, kuelekea kilele cha mlima ulio magharibi ya bonde la Hinomu na kufika mwishoni mwa bonde la Refaimu.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:8 katika mazingira