Yoshua 17:15 BHN

15 Yoshua akawajibu, “Kama mmekuwa wengi hivyo, hata nchi ya milima ya Efraimu haiwatoshi tena, basi nendeni msituni katika nchi ya Waperizi na ya Warefai, mkaufyeke msitu huo na kufanya makao yenu huko.”

Kusoma sura kamili Yoshua 17

Mtazamo Yoshua 17:15 katika mazingira