7 Eneo la kabila la Manase lilianzia Asheri na kwenda hadi Mikmethathi mashariki ya Shekemu; halafu mpaka wao ukaendelea kusini hadi kwenye nchi ya wakazi wa En-tapua.
Kusoma sura kamili Yoshua 17
Mtazamo Yoshua 17:7 katika mazingira