Yoshua 17:8 BHN

8 Nchi ya Tapua ilikuwa mali yake Manase, lakini mji wa Tapua, ambao ulikuwa mpakani, ulikuwa mali ya wazawa wa Efraimu.

Kusoma sura kamili Yoshua 17

Mtazamo Yoshua 17:8 katika mazingira