Yoshua 17:9 BHN

9 Mpaka huo uliendelea hadi kijito cha Kana. Miji iliyokuwa kusini ya Kana ilikuwa ya Waefraimu hata ingawa ilikuwa katika nchi ya kabila la Manase. Halafu mpaka ukapita kaskazini ya kijito Kana na kuishia bahari ya Mediteranea.

Kusoma sura kamili Yoshua 17

Mtazamo Yoshua 17:9 katika mazingira