11 Kura ya kwanza ililipata kabila la Benyamini kulingana na koo zake. Eneo walilopewa watu hao lilikuwa katikati ya lile la kabila la Yuda na lile la kabila la Yosefu.
Kusoma sura kamili Yoshua 18
Mtazamo Yoshua 18:11 katika mazingira