Yoshua 19:12 BHN

12 Kutoka Saridi, mpaka huo ulielekea mashariki hadi kwenye mpaka wa Kisloth-tabori, na kutoka huko ukapita Daberathi hadi Yafia.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:12 katika mazingira