Yoshua 19:11 BHN

11 Kutoka huko mpaka wake ulikwenda magharibi hadi Mareali, ukapitia pembeni mwa Dabeshethi na kwenda kwenye kijito kilichoko mashariki ya Yokneamu.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:11 katika mazingira