Yoshua 19:49 BHN

49 Walipomaliza kugawiana sehemu zote za nchi, Waisraeli walimpa Yoshua, mwana wa Nuni, sehemu yake katikati yao.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:49 katika mazingira