Yoshua 19:50 BHN

50 Kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu walimpa mji ambao aliuchagua yeye mwenyewe, yaani Timnath-sera, ambao ulikuwa katika nchi ya milima ya Efraimu. Naye Yoshua akaujenga upya mji huo na kukaa humo.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:50 katika mazingira