Yoshua 19:51 BHN

51 Basi, kuhani Eleazari na Yoshua, mwana wa Nuni, pamoja na viongozi wa makabila ya Waisraeli waligawa sehemu hizo kwa kura mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano huko Shilo. Basi, wakakamilisha kuigawa nchi.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:51 katika mazingira