Yoshua 2:19 BHN

19 Lakini mtu yeyote akitoka nje ya nyumba yako na kwenda mitaani hatutakuwa na lawama juu ya kifo chake. Lakini kama mtu yeyote atakayekuwamo ndani ya nyumba yako akiguswa tu, basi lawama ya kifo chake itakuwa juu yetu.

Kusoma sura kamili Yoshua 2

Mtazamo Yoshua 2:19 katika mazingira