Yoshua 2:18 BHN

18 Tutakapokuja katika nchi hii, funga kamba hii nyekundu kwenye dirisha ambalo umetuteremshia. Uwakusanye hapa kwako baba yako, mama yako na kaka zako na jamaa yote ya baba yako.

Kusoma sura kamili Yoshua 2

Mtazamo Yoshua 2:18 katika mazingira